FLASH MODEM YAKO YOYOTE KWA NJIA NYEPESI ZAIDI 100%
MURON TV😳 |
Unaweza unlock modem yoyote ya Huawei kwaku Upgrading / Downgrading Firmware au kutuma(kuandika) unlock code kwenye Huawei modem. Kuna aina mbalimbali | system mbalimbali za ku unlock modem ya Huawei ambazo ziko available kwa ajili ya modem za Huawei.
Leo nitawaonyesha jinsi ya kunlock modem ya Huawei Kwa kutumia
1. UNIVERSAL MASTER CODE
2. HUAWEI MODEM CODE WRITER
Mfumo huu utakata ukiwa umeweka line yako kwenye modem ambayo inasoma line ya hiyo modem hivyo kabla ya kutumia unabid ubadilishe uweke line ambayo inakataa kwenye modem yako ila kama umeweka modem alaf is not asking for the unlock code we have to manually (force fully) send the unlock code using this tool.
Huawei Modem Code Writer Tool Download
Unaweza kupata Huawei Modem Code Writer Tool kupitia Hapa:-
UNIVERSAL MASTER CODE
Unaweza kupata Universal MasterCode Kupitia hapa
JINSI YA KUTUMIA UNIVERSAL MASTER CODE
1. Download kisha Extract Kwa kutumia mfano WinRAR, 7zip na NK
2. Fungua Universal Master code
3. Chagua modem yako ya aina hip Mfano Huawei au NEC au ZTE Na nk
4. Ingiza IMEI za Modem yako [unaweza kuzingalia] kupitia modem yako.
5. Copy unlock (namba) Na Flash (namba) kwenye Notepad Yako
BAADA YA HAPO FUNGUA HUAWEI MODEM Code Writer
Kabla ya kutumia hakikisha umeweza generate unlock code ya modem yako
Fungua Tool yako ya HUAWEI MODEM Code Writer
Huawei Code Writer
1. Ili uweze kutuma code zako unabid uweke modem yako Na line ambayo haisom kwenye modem
2. Bonyeza sehemu iliyoandikwa ( PLEASE SELECT COM PORT ) kisha bonyeza bonyeza sehemu iliyoandikwa DETECT na baada ya hapo utaona port ya Modem yako ina DETECTED chagua hiyo kisha ACCEPT
3.. Sasa bonyeza kwenye UNLOCK MODEM kisha andika MODEM CODE baada ya hapo window
Nitafanya calculation na kukuuliza kwa ajili ya ku unlock itajiandika chini ya unlock code kisha piga Okay
Itatuma code kwenye Na utaona ujumbe wakukuonyesha modem imekwisha unlock
0 Maoni